Jeneza
lililobeba mwili wa marehemu Kapteni John Komba likiwa limebebwa
kuelekea kwenye jukwaa maalum kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam.
Familia ya Marehemu Kapteni John Komba ikiwa imesimama tayari kuupokea mwili wa marehemu kwenye viwanja vya Karimjee.
Ni huzuni kubwa kwa familia ya marehemu.
Familia ya Marehemu Kapteni John Komba ikiwa imesimama tayari kuupokea mwili wa marehemu kwenye viwanja vya Karimjee.
Ni huzuni kubwa kwa familia ya marehemu.
picha ya jeneza lililowekwa mwili wa marehemu Kapten John Komba katika ukumbi wa karimjee jijini Dar es salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete (katikati)
akiwa pamoja na Makamu wa Rais Ghalib Bilal (kushoto) na Spika wa Bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Makinda wakiwa kwenye viwanja
vya Karimjee ambapo mwili wa Marehemu Kapteni John Komba uliagwa na
Viongozi mbali mbali na wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoa salamu za rambirambi kwa
niaba ya chama cha mapinduzi wakati wa kuuaga mwili wa kapten John komba
katika ukumbi wa karimjee.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete (kulia)
akizungumza na Makamu wa Rais Ghalib Bilal kwenye viwanja vya Karimjee
ambapo mwili wa Kapteni John Komba ulikuwa unaagwa .
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiimba wimbo maalum wakati wa
kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Kapteni John Komba aliyefariki
tarehe 28 februari 2015 jijini Dar es Salaam.
Viongozi
wa CCM pamoja na wanamuziki wa muziki wa dansi wakiimba kwa pamoja
nyimbo maalum wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Kapteni
John Komba.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoa heshima ya mwisho kwa marehemu Kapteni John Komba .
Mzee Yusuf Makamba akifutamachozi wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Kapteni John Komba
Kada wa CCM na Mwanasiasa mkongwe nchi Kingunge Ngombale Mwilu akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Kapteni John Komba
Katibu wa NEC Idara ya Oganaizesheni CCM Dk. Mohamed Seif Khatib akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Kapteni John Komba.
Waziri wa Mambo ya Nje na uhusiano wa Kimataifa Bernad Membe akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Kapteni John Komba
Viongozi
na wananchi kutoka sehemu mbali mbali wakiwa kwenye foleni ya kwenda
kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Kapteni John Komba kwenye viwanja
vya Karimjee.
Mbunge
wa Viti maalum mkoa wa Arusha Mheshimiwa Catheline Magige akiondoka
eneo la tukio baada ya kumaliza kutoa heshima zake za mwisho kwa
marehemu Kapteni John Komba.Source http://www.mjengwablog.com
Comments