MKUU WA WILAYA KINONDONI AFANYA ZIARA HOSPITALI YA MWANANYAMALA NA PALESTINA KUANGALIA UTENDAJI WAKE
Mkuu
wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akiongea na Mganga Mkuu wa
Hospitali ya Palestina, Dkt. Benedicto Luoga iliyopo Sinza jijini Dar es
Salaama mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza jana kuangalia jinsi
utendaji wake wa Kazi. Pembeni ni Katibu Tawala wa Manispaa ya
Kinondoni.
Mkuu
wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akisaini kitabu cha wageni mara
baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Palestina
iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam kuangalia jinsi utendaji wake wa
Kazi.
Waandishi wa Habari walioambatana na Mkuu wa Wilaya wakifuatilia.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Palestina, Dkt. Benedicto Luoga akitoa maelezo machache.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akipewa maelekezo kutoka kwa mtaalamu wa maabara Dokta Mniko Kimori.
Mkuu
wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akiongea na akinamama waliopo
katika wodi ya uzazi wakieleza uhaba wa majengo kusababaisha msongamano.
Akipokelewa na Mkunga...
Akiongea na wagonjwa...
Akionyeshwa X-Ray na mmoja ya wagonjwa...
Mkuu
wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akiongea na Mganga Mkuu wa
Hospitali ya Palestina, Dkt. Benedicto Luoga iliyopo Sinza jijini Dar es
Salaama akisoma taarifa ya hospitali mara baada ya kufanya ziara ya
kushtukiza jana kuangalia jinsi utendaji wake wa Kazi.
Mkuu
wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akiongea akina mama aliyowakuta
wakipata huduma katika hospitali ya Mwananyamara mara baada ya kufanya
ziara ya kushtukiza jana kuangalia jinsi utendaji wake wa Kazi. Pembeni
ni Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dk. Sophinias Ngonyani (kulia).
Akinamama
wakifurahia kuongea na mkuu wa Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda
akiongea mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza jana kuangalia
jinsi utendaji wake wa Kazi.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dk. Sophinias Ngonyani (kulia) akimuongoza Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza jana kuangalia jinsi utendaji wake wa Kazi.
Wananchi
walifika kupata huduma katika hospitali ya Mwananyamala wakimsikiliza
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda (hayupo pichani) mara baada ya
kufanya ziara ya kushtukiza jana kuangalia jinsi utendaji wake wa Kazi.
Mkuu
wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akisalimiana na mmoja ya madokta wa
hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam mara baada ya kufanya
ziara ya kushtukiza jana kuangalia jinsi utendaji wake wa Kazi.
Mkuu
wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akiongea akina mama aliyowakuta
wakipata huduma katika hospitali ya Mwananyamara mara baada ya kufanya
ziara ya kushtukiza jana kuangalia jinsi utendaji wake wa Kazi.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akionyeshwa jinsi X-Ray inavyofanya kazi.
Mkuu
wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akipata maelezo mara baada ya
kuingia chumba cha maabara ya hospitali ya Mwananyamala mara baada ya
kufanya ziara ya kushtukiza jana kuangalia jinsi utendaji wake wa Kazi.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dk. Sophinias Ngonyani akitoa maelezo kwa Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza jana kuangalia jinsi utendaji wake wa Kazi.
Madokta wa hospitali ya Mwananyamala wakishauriana jambo.
Uhaba wa jengo na Vitanda ndiyo chanzo cha kuwalaza watoto watano kitanda Source.http://www.hakingowi.com
Comments