Ludacris na mke wake Eudoxie Mbouguiengue wamesema rasmi kuwa wanategemea mtoto miezi miwili tu baada ya ndoa yao
.Walishare Picha katika mtandao na inamuonyesha Luda akibusu tumbo la mke wake Eudoxie huku ujumbe ukisema “Beautiful day on the beach,’Beautiful day indeed “
.Walishare Picha katika mtandao na inamuonyesha Luda akibusu tumbo la mke wake Eudoxie huku ujumbe ukisema “Beautiful day on the beach,’Beautiful day indeed “
Mwezi uliopita Luda alipewa haki zote za malezi za mtoto wake wa
mwaka mmoja “Cai Bella” after a court battle with the child’s mother,
baada ya kushinda kesi dhidi ya mama yake Tamika Fuller.Album ya tisa ya
Ludacris “Ludaversal” imetajwa kutoka March 31 na Fast 7 itatoka April
3
Comments