Skip to main content

Diamond bado yupo nchini Nigeria kwa hivi sasa

Diamond bado yupo nchini Nigeria alikoenda kutumbuiza kwenye ‘The Africa Magic Viewers’ Choice Awards 2015’.
Diamond akiwa kwenye selfie ya pamoja na mastaa mbalimbali wa Nigeria akiwemo 2 Face, Iyanya, Paul Okoye na wengine

Comments