Mtandao wa Forbes umetangaza kuwa mcheza kikapu wa zamani Michael
Jordan anatengeneza dola za Kimarekani milioni 100 kwa mwaka kupitia
Nike na kampuni zingine. Anatengeneza pesa nyingi zaidi kuliko
mwanamichezo yeyote aliyestaafu.
Mwaka jana alitengeneza dola milioni 90, mwaka jana mauzo ya bidha za
Jordan yaliongezeka kwa asilimia 17 na kufikia dola bilioni 2.6 kwa
mujibu wa sportscaninfo.
Jordan anarekodi ya kuuza mara kumi zaidi ya wachezaji wengine wenye viatu kama Lebron James.
Comments