Rapa Fid Q leo amepewa tuzo ya Champion of the 2015 European year
for development in Tanzania kutoka kwa umoja wa nchi za Ulaya. Tuzo hii
amepewa Fid Q sababu ya kuwa na mchango mkubwa kwa jamii kupitia mambo
tofauti anayofanya.
Fid Q amewahii kuwa na kipindi cha television cha Fid Style Friday
kilichotoa nafasi kwa wasanii wa hiphop kuonyesha uwezo wao, Fid q
alifungua darasa la Ujamaa Hip Hop lililosaidia vijana kuwa na tabia
nzuri na kuachaa mambo waliyofanya awali ambayo baadae yange haribu
maisha yao.
Comments