Ndugu zangu,Imeandikwa, kuwa Yethro
alimshauri mkwewe Mussa achague miongoni mwa watu wake, watu wenye
uwezo, watu wakweli, wacha Mungu, wasiotamani mapato ya udhalimu.
Awaweke chini ya makumi, hamsini na mamia.
Waamue mambo madogo ili Mussa asidhohofu kwa majukumu mengi, ili nao wauchukue mzigo pamoja na Mussa.Naam, Uongozi ni Mzigo. Aliandika hivyo Maggid katika usiku wa
Waamue mambo madogo ili Mussa asidhohofu kwa majukumu mengi, ili nao wauchukue mzigo pamoja na Mussa.Naam, Uongozi ni Mzigo. Aliandika hivyo Maggid katika usiku wa
Comments