Juu na chini ni Wasanii Masanja mkandamizaji na Shilole katika picha ya
pamoja na mwenyekiti wa kamati ya maandalizi wa sherehe ya miaka 3 ya
Vijimambo na tamasha la Utamaduni wa Kiswahili, Bwn. Baraka Daudi
alipokwenda kuwapokea walipotinga uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles
uliopo Sterling, Virginia.
Wasanii Masanja mkandamizaji na Shilole katika picha ya pamoja na Bwn.
Baraka (Picha ya kulia) Asha Haris akiwa na Shilole kwenye mapokezi
Msanja akionyesha uwanja wa Julius Nyerere wa Marekani "UNABISHA" Picha na Luke Joe Vijimambo
Comments