Pamoja na kushiriki shindano la Big Brother Africa ili kuwania kitita
kinono cha dola 300,000 bado si sababu ya wewe kufikiri ni njaa tu ndio
inawapelekea watu kujitosa la hasha! Hii itajidhihirisha baada ya wewe
kuchukua time yako kucheki mkoo mkali aina ya Lamborghini anaomiliki
mwanadada kutoka nchini Zimbabwe Pokello!
Baada ya kuingia BBA mwanadada Pokello alikumbwa na kashfa baada ya
video yake ya ngono akiwa na mpenzi wake kuvuja.Pamoja na hilo baba wa
Pokello amefunguka kuwa hana tatizo na video hiyo kwa sababu mtoto wake
alikuwa kwenye starehe zake za kawaida na mpenzi wake!
Comments