Skip to main content

Tawi la Al-Shabaab la Amniyat lapewa kazi ya kumlinda Godane


Na Mahad Ibrahim, Mogadishu
Kikundi cha wataalamu cha al-Shabaab cha tawi la Amniyat kinaweza kuwa kikosi cha mwisho kinachomuweka madarakani kiongozi wa kikundi cha wanamgambo Ahmed Abdi Godane kwa vile kikundi kinaendelea kupoteza maeneo na makamanda wapinzani wanashinikiza uasi wao dhidi ya utawala wake, waangalizi wasema.
Picha iliyotumwa na al-Shabaab katika akaunti ya Twitter tarehe 29 Aprili, ikiaminiwa kuonesha majeshi waaminifu kwa Godane. [Jalada]
Wanachama wa Amniyat wamepata mafunzo na operesheni maalumu za hali ya juu ambao kazi zao zinajumuisha kukusanya habari za kiintelijensia ili kutekeleza misheni za mauaji na kulipua mabomu.
Muundo wa uongozi wa Al-Shabaab umegawika katika sehemu tatu: Jabhad, tawi la kijeshi; Hizb, ni sawa na polisi; na Amniyat, kitengo cha kiintelijensia, kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Redio Mogadishu na aliyekuwa msemaji wa Mahakama za Kiislamu Abdirahim Isse Addow.
Askari wapya mwanzoni hupewa mafunzo makambini, ambapo baadaye wakufunzi huwapeleka katika moja ya matawi hayo, alisema. Amniyati pia huajiri watendaji kutoka matawi mengine ndani ya al-Shabaab.
"Mtu ambaye ni mbunifu, shujaa, mwaminifu kwa emir [Godane] na itikadi za kikundi, na anayeweza kutunza siri huchaguliwa kuwa mwanachama wa Amniyat," Addow aliiambia Sabahi. "Baadaye hupewa mafunzo maalumu na hutengwa katika vitendo tofauti kama vile kikosi cha ulipuaji mabomu na mabomu ya kuzika ardhini, kitengo cha milipuko, kitengo cha mauaji, na kitengo cha intelijensia.
Hata hivyo, Amniyat kimekuwa kikidhoofishwa na habari zinazotolewa na waasi na wapiganaji waliokamatwa, Addow alisema. Kwa mfano, maafisa wa usalama huko Puntland walimjeruhi na kumkamata kamanda wa Amniyat mwezi wa Juni.

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.