MMANGALA,
Ningoma ya Kabila la wahehe hutumika kutumbuiza nyakatizote za huzuni,furaha na katika mikutano au maonesho mbalimbali.Hushirikisha
jinsia zote katika uchezaji, wakiwa wamevaa mavazi ya kiasiri na yenye
utambulisho wa wahehe, pia miguuni huvaa (njuga).huwepo wapiga ngoma ( Ndusi) watatu, zilizotegenezwa kwa kwa mti uliochongwa mithili ya Kinu.tuzienzi na kudumisha tamadunizetu asilia.
Said Ng'amilo Mjengwablog
Comments