Walinzi wa CHADEMA wakimlinda Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe |
Hapa ni walinzi wa Rais Jakaya Kikwete |
Chama
cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema kutokana na mlipuko wa
bomu uliotokea Arusha katika mkutano wa CHADEMA mwezi uliopita, sasa
wameamua kuanzisha kikosi cha ulinzi kitakachoundwa na vijana.
Mwenyekiti
wa chama hicho Freeman Mbowe alibainisha hapo jana kuwa kikosi hicho
cha ulinzi kitakachaoundwa na vijana kitapewa mafunzo na watatumika
kuwalinda viongozi wa CHADEMA katika shughuli za kichama na kitaifa.
Comments