Heshima
kwako mheshimiwa Rais wa 44 wa Taifa kubwa duniani la USA ,Ndugu Barack
Hussein Obama, awali ya yote nilifurahishwa na maandalizi ya ujio wako
na furaha ikatimia nilivyoona kupitia Televishen ya Taifa ukishuka
kutoka kwenye Air Force One, tatu nikafurahishwa vile ulivyochangamka
ukiwa pale uwanjani kama haitoshi nikavutiwa vile ukidance pale uwanja
wa ndege na kama bado nikapendezwa na uwezo wako wa kujibu maswali ya
wanahabari ingawa nilipenda yaendelee.
Mr
President nasikitika sijasikia habari ya michezo ikipewa kipaumbele
katika ziara yako nilitegemea kusikia katika miradi ambayo serikari yako
inafadhiri nchi yetu basi angalau suala la kujenga shule za michezo kwa
kasi lingekuwa linagusiwa ,
Mr
President ajira imekuwa ni tatizo kubwa katika nchi yetu hasa kwa vijana
na labda tulitegemea uwepo wa uwekezaji katika michezo ungesaidia
kupunguza tatizo hili ila nalo limekuwa tatizo sugu, sasa kwa mtazamo
wangu Capt Mkami Jr nilitegemea itaondoa tatizo hili japo si sana ila
angalau michezo uleta watu karibu na uleta furaha na amani.
Mr
President pichani nimevutiwa ukiwa na mpira wa mkipasiana na Mr
President mwenzio bila shaka kuna chochote mlizungumza kuhusia na hicho
mnachokifanya hapo pichani, pia hii picha kwangu inanipa neno
Je Mr President wangu ndugu Jakaya , Uwanja wa taifa,Kocha, na Timu ya taifa vinatosha kutupeleka World Cup mimi nadhani ipo haja ya kuwekeza katika michezo kwa nguvu na kwa mipango hakika tutaweza?
Je Mr President wangu ndugu Jakaya , Uwanja wa taifa,Kocha, na Timu ya taifa vinatosha kutupeleka World Cup mimi nadhani ipo haja ya kuwekeza katika michezo kwa nguvu na kwa mipango hakika tutaweza?
Capt Mkami Jr.Chanzo ni www.mjengwablog.com
Comments