Taliki Juma (22) aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Ufundi (VETA) -
Dodoma, amefariki dunia baada ya kujilipua kwa mafuta ya petroli. Aidha,
katika tukio hilo watu wengine wanane waliokuwa karibu na eneo la tukio
walijeruhiwa vibaya.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

Comments