Skip to main content

PAULYNE ZONGO WAUNGANA.....

  



WANAMUZIKI nyota watatu wa kike nchini wameanzisha kundi jipya la muziki litakalojulikana kwa jina la Ndege Watatu.

Nyota hao watatu wanaongozwa na Khadija Mnoga, ambaye ni mwimbaji wa bendi ya Extra Bongo, Paulyne Zongo na Joan Matovolwa, ambao ni wanamuziki huru.



Kwa mujibu  Khadija alisema kundi hilo linaundwa na wanamuziki mchanganyiko wa miondoko ya dansi na kizazi kipya na limedhamiria kuleta ladha na changamoto mpya katika muziki.

Comments