Naibu
Waziri wa TAMISEMI Agrey Mwanri akizungumza na Kamanda wa Polisi Mkoani
Kilimanjaro ACP Robert Boaz wakati wa sherehe za uzinduzi wa Kampeni ya
Baraka za utii wa sheria Bila shuruti zilizoandaliwa na Umoja wa
Makanisa ya Kipentekoste nchini (PCT) katika viwanja vya Mashujaa mjini
Moshi.Kulia ni Mratibu wa kampeni hiyo kitaifa Issaya Zenobius (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi,Kilimanjaro)
Kikundi cha burudani cha Herbon Christian College kutoka Nchini New Zeland kikitoa burudani wakati wa sherehe za uzinduzi wa Kampeni ya Baraka za utii wa sheria Bila shuruti zilizoandaliwa na Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste nchini (PCT) katika viwanja vya Mashujaa mjini Moshi. (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi,Kilimanjaro)
Na: Frank Geofray-Jeshi la Polisi, Kilimanjaro.
Serikali kuu na Sereikali za mitaa zimetakiwa kuendelea kushirikiana ili kuwezesha uwepo wa ulinzi na usalama katika maeneo yote hapa nchini kwa kuimairisha na kuipa msukumo kampeni ya Baraka za utii wa sheria bila shuruti inayosimamiwa na Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste nchini (PCT).Hayo yalisemwa jana na Naibu waziri wa TAMISEMI Agrey Mwanri wakati alipokuwa akizungumza na wakazi wa Mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro wakati wa

Comments