MOJA ya fialmu ya Eda inayotazamiwa kufanya
poa sokoni , ujio wa filamu hii umewahusisha wasanii nyota Ussi Haji , Hdaya
Njaidi, Sabrina Rupia , Jerry wa Rhimes pamoja
Merry Mwita.
poa sokoni , ujio wa filamu hii umewahusisha wasanii nyota Ussi Haji , Hdaya
Njaidi, Sabrina Rupia , Jerry wa Rhimes pamoja
Merry Mwita.
Ussi Haji ameonekana kucheza kama mume wa Merry, mambaye ameonekana kuwa (busy) kwa shughuli za utafutaji na kujikuta hatimizi haki ya ndoa kwa mkewe.
Hali hiyo inapelekea kuchelewa kupata ujauzito,
wazazi na ndugu wa Ussi wanaanza chokochoko
na kumchukua Merry,bila kujua chanzo.
Malalamiko na visa vinapozidi, Merry anaomba pesa kwa mumewe shilingi milioni tano iliaanze biashara .
Anapewa na kumtafuta Jerry na kutaka kumpa pesazote ilimradi alale naye na ampe ujauzito.
Lakini wakati huo huo Jerry ni mchamungu
anakataa , kujua nini kilifuata msomaji ujio wa
filamu hii imeingia sokoni leo.
usikose kununua fialmu hii.http://www.pilipilimoviehouse.blogspot.com/
Comments