Wafuasi
wa rais wa Misri aliyeondolewa madarakani na jeshi,Mohamed Morsi
wamesema zaidi ya watu laki moja na ishirini wameuwawa katika mapambano
na vikosi vya ulinzi na usalama mjini Cairo.
Polisi waliingia katika mkusanyiko wa
usiku wa wafuasi wa Morsi saa chache baada ya waziri wa mambo ya ndani
kusema wafausi wa Morsi na chama chao cha Muslim Brotherhood
waliokusanyika kwenye viunga vya msikitini wa Rabba Al Adawiya lazima
waondoke. (HM)
Comments