Source: GPL
Vilio, simanzi, huzuni vilitanda Jumatano iliyopita Mwananyamala Kisiwani, jijini Dar kufuatia mtoto wa mwaka mmoja, Rahim Rajab kufariki dunia kwa kuangukiwa na watu watatu, akiwemo baba yake mzazi, Rajab Said, Risasi Jumamosi lina mkanda wote.

Tukio la watu hao kumwangukia mtoto huyo
lilitokea Jumatatu iliyopita na lilisababishwa na ugomvi mkubwa wa CD
yenye nyimbo za mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’
ulioibuka ndani ya chumba cha kulala kati ya mama wa marehemu na
mpangaji mwenzake aitwaye Aisha.
Comments