Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa (wa tatu kulia) sambamba na Mkewe Mama Regina Lowassa,
wakiongozana na viongizi mbali mbali wa Chama wa Mkoa wa Arusha
waliofika kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa KIA, wakati akitokea Mkoani
Dodoma kuhudhulia vikao cha Bunge na kupigia kura bajeti kuu ya
Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akimjulia hali Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM, Mathias Manga,
aliyejeruhiwa kwa risasi jana usiku na watu wasiofahamika, wakati
walipokutana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa KIA, Mkoani Kilimanjaro
leo Juni 24, 2015.
(DK)
Comments