Madai mapya yaibuliwa kuhusiana na fifa, Jack Warner pamoja na uteuzi wa mwenyeji wa kombe la dunia la mwaka 2010.
Madai hayo mapya yanadai kuwa nchi ya Morocco ilikuwa imeishinda Afrika kusini kwa kura mbili katika kinyanganyiro cha kutafuta wenyeji wa mashindano ya kombe la dunia la mwaka 2010 lakini matokeo hayo yalibadilishwa na aliyekuwa msimamizi wa uteuzi huo Jack Warner baada ya kupokea kitita cha dola milioni 100 kutoka kwa serikali ya Afrika kusini.

Ripoti ya madai hayo imetolewa na Mtendaji wa shirikisho hilo Ismail Bhamjee
Comments