ALIYE wai kuwa Miss Tanzania, 2001, Happiness Millen Magese anatajwa kuwa hatimaye ametunukiwa tuzo ya kwanza ya heshima ya Global Good ya BET Awards 2015.
l
l
Millen amepewa tuzo hiyo kutokana na jitihada zake za kampeni ya ugonjwa wa endometriosis ambao pia amekuwa nao katika maisha yake yote tangu awe msichana. Tatizo hilo limempelekea kuwa mgumba.
Pamoja na hivyo Millen amekuwa mstari wa mbele kutoa misaada mbalimbali kwa wasiojiweza
Comments