Hizi ni baadhi ya picha za matukio ya mtanange wa fainali wa ligi
ya mabingwa ulaya ambao ulifanyika usiku wa jana na kushuudiwa mabingwa
wa Hispania wakinyakua kombe la tatu msimu huu.

Mashabiki wa Barcelona wakishangilia mara baada ya timu yao kutawazwa kuwa mabingwa wa ligi kuu ya ulaya uefa

Ili ndilo lilikuwa bao la mchezaji Alvaro Morata

Ili ndilo lilikuwa bao la pili lililofungwa na Luis Suarez

Barcelona wakinyanyua kombe juu mara baada ya kukabidhiwa

Ilo ndilo lilikuwa bao la tatu la Neymar

Vijana wa Barcelona wakishangilia kwa furuhaa

Wachezaji wa Barcelona wakimrusha juu kocha wa kikosi hicho

Wachezaji wa Juventua wakipeana mikono ya pongezi na wachezaji wa Barcelona

Neymar akiwa amejifunga kitambaa usoni kilichoandikwa Jesus

Wachezaji wa barcelona wakipata picha ya pamoja

Hili ndilo lilikuwa bao la kwanza la Barcelona

Wachezaji wa Juventus wakilia baada ya kushindwa kunyakua ubingwa wa uefa

Messi akiwa amembeba mtoto wa Thiago
Comments