Nuh akiongea na eNewz kuwa, yeye pamoja na Shilole wanapenda sana
kupata mtoto wao, ila anafahamu kuwa hiyo ni mipango ya Mungu na wakati
wowote kutoka sasa ikitokea baraka hiyo watafurahi, huku akiweka mipango
ya ndoa baada ya kutambulishana kwa wazazi.
Source: Eatv.
Comments