Mshambuliaji mpya wa Free
State Stars ya Afrika Kusini, Mrisho Khalfan Ngassa akiwa mbele ya gari
la kutumia alilopewa na klabu yake hiyo baada ya kuwasili mjini
Bethlehem leo yalipo makao makuu ya klabu hiyo ya Ligi Kuu ya nchini
humo
Mke wa Ngassa, Radhia Mngazija akiwa jikoni kwenye nyumba yao baada ya kuingia leo
Radhia 'Nish' akiwa mlango wa nyuma wa nyumba yao mjini Bethlehem
Mrisho akiwa kwenye sebule ya nyumba yake mjini Bethlehem
Comments