Mheshimiwa Sitta akisimikwa kuwa
Mjukuu Mkuu wa ukoo wa Fundikira katika hafla iliyofanyika katika
viwanja vya Ikulu ya Unyanyembe Itetemia mkoani Tabora jana.
Mheshimiwa Samweli Sitta akiwa na
viongozi wenzake wa CCM alipokuwa akitangaza nia ya Kugombea Urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Comments