Winga aliyeitumikia klabu ya Arsenal kwa misimu 2 tofauti Gilles Sunu
amejiunga na klabu Angers kutoka katika klabu ya Evian zote zikiwa
zinacheza ligue 1 kwa kitita cha uhamisho ambacho hakijawekwa wazi.
Gilles aliondoka katika klabu ya Arsenal mwaka 2011.
Hata hivyo, tangu Mfaransa huyo aondoke Arsenal amejikuta akichezea klabu mbalimbali za Ufaransa.
Comments