Skip to main content

Nyota Essien asaini mkataba wa miaka 2 Panathinaikos


Michael Essien
Michael Essien
Nyota wa timu ya taifa ya Ghana na klabu ya Inter Milan Michael Essien amesajiliwa na kilabu ya Panathinaikos ya nchini Ugiriki kwa mkataba wa miaka miwili.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa ya Panathinaikos mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 amesaini mkataba wa miaka 2 baada ya kufikia makubaliano.

Comments