Elliot Desmond akiwa bungeni
Mwigizaji na mtayarishaji wa vipindi nchini Nigeria ambaye amegeukia
upande wa pili wa siasa, Desmond Eliot jana alitoa picha yake kwenye
mitandao akiwa amekaa kiti cha mbele katika bunge la Nigeria.
Msanii huyu alishinda kiti cha useneta kupitia chama cha APC katika uchaguzi uliomalizika miezi michache iliyopita.
Haya ni maneno mafupi aliyoandika baada ya kutinga bungeni kwa mara ya kwanza katika historia ya maisha yake.

Comments