
Msafara
wa pikipiki na magari mjini Katavi jana wakati wanachama, mashabiki,
wapenzi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
walipojitokeza kwa wingi kumpokea Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dk.
Willibroad Slaa ambaye yuko kwenye ziara ya mikoa ya Mbeya, Rukwa na
Katavi akikagua zoezi la uandikishaji wapiga kura kwa mfumo wa BVR,
kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwa wingi kwenye Daftari la Kudumu la
Wapiga Kura huku pia akikagua maandalizi ya chama kwenda kushinda
uchaguzi mkuu mwaka huu.(Muro)
Comments