Skip to main content

JARIBU KUTUPIA MACHO KWA CAITLYN JENNER

CAITLYN Jenner (65) aliyejibadili jinsia na kuwa mwanamke atalazimika kuanza na viwango vipya katika mchezo wa Golf maana watoa viwango hivyo hawatamtambua tena kama zamani alipokuwa mwanaume akitumia jina la Bruce Jenner.
Picha ya Caitlyn iliyowekwa katika Jarida la Vanity Fair.
Bruce alikuwa mkali wa mchezo wa Golf akiwa na viwango vya 5.3. Kwa sasa Chama cha Golf nchini Marekani hakitamruhusu Caitlyn kutumia viwango hivyo vya Bruce.

Hivyo Caitlyn atalazimika kuanza na moja kama atataka kutambulika pia katika mchezo huo.…(AI)
CAITLYN Jenner (65) aliyejibadili jinsia na kuwa mwanamke atalazimika kuanza na viwango vipya katika mchezo wa Golf maana watoa viwango hivyo hawatamtambua tena kama zamani alipokuwa mwanaume akitumia jina la Bruce Jenner.
Picha ya Caitlyn iliyowekwa katika Jarida la Vanity Fair.
Bruce alikuwa mkali wa mchezo wa Golf akiwa na viwango vya 5.3. Kwa sasa Chama cha Golf nchini Marekani hakitamruhusu Caitlyn kutumia viwango hivyo vya Bruce.
Hivyo Caitlyn atalazimika kuanza na moja kama atataka kutambulika pia katika mchezo huo.
Bruce Jenner kabla ya kubadilisha jinsia.
Juzi Caitlyn alimaliza mchakato wa kubadilisha jinsia yake na kuwa mwanamke ambapo alitangaza rasmi kupitia Jarida la Vanity Fair kuanza kuitwa jina hilo badala ya Bruce.

Comments