David Ndaiga listening to MwanaFA
Wanaosema Wenzao Rudi Angalia Maisha Yao, Wengine Hawana Hata Kalaki Na Wanaita Watu Masikini.
Usiniwaze Sana Mie Nawaza Maisha Yangu, Sina Hata Mia Ya Urithi Vyote Hivi Ni Vya Kwangu.
Nishaenda Shule Bila Viatu, Nishatoa Funza Kama Buku, Na Ipo Siku Utaniheshimu Ama Utaheshimu Hela Zangu.

Musician/Band
Swahili Hip Hop
Comments