Leo
tumekutana na ndugu yangu Mheshimiwa Samuel Sitta. Mimi na Sitta
tumetoka mbali kikazi na kindugu. Tumefanya kazi pamoja bungeni, ndani
ya CCM na serikalini kwa mafanikio makubwa.
Namtakia heri katika
harakati zake huku nikiamini kwa dhati kwamba uhusiano wetu ndiyo msingi
wa umoja na mshikamano ndani ya CCM na kwa taifa letu kwa siku zijazo.
Kila la Kheri Brother Sam!
ppppppp

Comments