Mtoto wa Rais wa klabu ya AC Milan Silvio Berlusconi anaamini kuwa
mchezaji Zlatan Ibrahimovic endapo atakubali kujiunga tena na klabu hiyo
msimu huu basi ataisaidia AC Milan kwa kiwango kikubwa.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 33 aliondoka Milan kuelekea Paris Saint German katika msimu wa mwaka 2012 na Sababu za mchezaji huyo kuuzwa ilikuwa ni jitihada za timu hiyo kujaribu kuimarisha hali ya kiuchumi ambayo ilionekana kuikumba klabu hiyo.

Hata hivyo tangu kuondoka kwa Zlatan AC Milan imekuwa na wakati mgumu
katika ligi kuu ya italia baada ya kumaliza ligi hiyo ikiwa kwenye
nafasi ya 8 na 10 kwa misimu 2 mfululizo.
Comments