Arturo Vidal ameshikiliwa na polisi wa Chile baada ya kuharibu gari lake akituhumiwa kuendesha gari akiwa amelewa chakari.
Nyota huyo wa Juventus anasisitiza kuwa hakusababisha ajali hiyo
ambapo gari lake lenye thamani ya pauni 230,000 liliharibika vibaya siku
ya Jumanne usiku, ameshikiliwa usiku mzima kwa ajili ya kupelekwa
mahakamani.
Vidai hakuumia sana katika ajali hiyo, na hata mke wake Maria Teresa Matus hajaumia vibaya.
Comments