Skip to main content

Wandamanaji wakesha Hong Kong


Mamia ya waandamanaj wa Hong Kong wamezingirwa na Askari polisi wanaowataka kusitisha maandamano na mkusanyiko wao karibu na ofisi za Makao makuu ya serikali.
Waratibu wa maandamano hayo wamekaidi amri hiyo na kuwataka watu wengine zaidi kujitokeza ili kuwaunga mkono katika madai yao ya kuitaka China iwaachie uhuru wa kumchagua kiongozi wao katika uchaguzi ujao wa mwaka 2017.
Kiongozi wa Mamlaka ya Hong Kong C Y Leung amesema serikali yake imesikiliza na kuzingatia madai ya waandamani lakini inapingana na mpango wao wa kujitenga.
''Mimi na serikali yangu tutazingatia sheria za msingi na uamuzi unaostahili wa NPCSC,tutajaribu juhudi zote kutekeleza uchaguzi wa kiongozi mkuu kwa kila anayestahili kupiga kura atafanya hivyo mwaka 2017. Serikali itaanzisha hatua inayofuata ya majadiliano kuboresha katiba hivi hivi karibuni.
Inasihi sekta mbalimbali za jamii kushiriki katika majadiliano yenye mantiki kwa Amani na kwa kufuata sheria, kufikia makubaliano na kukubali tofauti pamoja na kuruhusu watu milion tano wenye uhalali wa kupiga kura hapa Hong Kong kumchagua kiongozi mkuu mwaka 2017 mtu mmoja kura moja'' amesema Leung Chung-ying.
'mimi na serikali yangu tumekuwa wasikivu kwa raia na tumejitolea kudumisha jamii yote. Wananchi wanatakiwa kutoa wanayoyahitaji kwa Amani, mantiki na kisheria, na kuheshimu na kuzingatia mitazamo mbalimbali katika jamii.
Serikali ya SAR ya Hongkong imeazimia kupinga utawala usio wa kisheria wa ofisi za serikali kuu au makao makuu ya wilaya 'utawala wa seriakli kuu''. Polisi wanajitambua kukabiliana na hali kwa wakati kwakuzingatia sheria'' Ameongeza.BBC

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AFANYA MAHOJIANO NA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo  linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...