Wanyange 30 watakaowania taji la Redd's Miss Tanzania 2014, wameingia
kambini leo kwenye hoteli ya JB Belmint iliyoko katikati ya Jiji la Dar
es Salaam kwa ajili ya kujiandaa kwa shindano hilo.
Warembo hao waliwasili kwenye hoteli hiyo kwa nyakati tofauti, kuanzia saa 12 jioni na kupokewa na waandaaji wa shindano hilo.
Warembo hao waliwasili kwenye hoteli hiyo kwa nyakati tofauti, kuanzia saa 12 jioni na kupokewa na waandaaji wa shindano hilo.
Comments