Jumapili ya September 28 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mrembo aliyebeba
taji la Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. katika kusheherekea siku hiyo
mpenzi wake Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz alithibitisha kwa vitendo
kuwa mapenzi yao bado yako imara, kwa kumnunulia zawadi ya gari jipya
aina ya Nissan.
Picha ya gari hilo la rangi nyeusi iliambaatana na ujumbe mzuri ambao Diamond alimwandikia wema kupitia akaunti yake ya Instagram yenye followers 236,841.
Picha ya gari hilo la rangi nyeusi iliambaatana na ujumbe mzuri ambao Diamond alimwandikia wema kupitia akaunti yake ya Instagram yenye followers 236,841.
Comments