Neymar alifunga goli la pekee dakika saba kabla ya mechi kumalizika
huku kocha wa Brazil kwa mara pili Dunga akianza kwa ushindi dhidi ya
watu 10 wa Colombia mjini Miami.
Mshambuliaji huyo wa Barclona Neymar alifunga kwa mkwaju wa faulu na
kukipa ushindi wa kwanza kikosi cha Selecao baada ya kumaliza wan ne
kwenye Kombe la Dunia nyumbani kwao Brazil.
Mchezaji mpya wa Manchester United Radamel Falcao alicheza kwa dakika 13 tu.
Comments