Hii ni ngoma mpya kutoka kwa baadhi ya wasanii wa
mkoani Katavi, GEORGE MC, SIDE TEACHER na G-ROH
ambao kwa umoja wao wanakwenda kwa jina la WANA
WA PINDA. Kazi inaitwa ASANTE KATAVI, imeguswa na
Producer Mubbyzow wa Maqube Rec aliyefanya hit
kibao ikiwemo Anajua ya Dogo Janja.
Mbali na umoja huo, WANA WA PINDA pia kila msanii
tayari amewahi kusimama kama solo na kufanya kazi
tofautitofauti.
Comments