Meneja wa Mirror na wasanii wa Endless Fame Petit amethibitisha kuwa
na mapenzi ya ukweli kwa Esma kwa kufunga nae ndoa kama ilivyoripotiwa
mapema.Hii piccha na ujumbe kutoka kwa Petit.
“Wat
can I say…. Im super happy for you two…. Wenyewe mlianza kimasihara
maskini…. Who would ve known dat itafika hii siku and now
mmehalalishwa…. Wow….!! Proud of u toto and to you my beautiful Esma, I
wish u nothing but happiness…. Nawapenda sana… and nawatakia kila lililo
lenye khery… Mpendane na muheshimiane katika maisha yenu ya ndoa… Ndoa
ni baraka na naomba mwenyezi mungu awafungulie kila kulipofungwa na
awatie ujasiri…. muishi kwa amani na upendo hadi pale kifo
kitakapowatenganisha…. dah hadi machozi yamenitoka.
Comments