Sam Sheikh, 27, anayeishi London, amedai kuwa amesubiria kwa
siku tatu kungoja siku yake na amekuwa mteja wa kwanza wa Uingereza kupata simu
Wakati huo huo huko Marekani kwenye duka la Birmingham kulikuwa na msululu mrefu wa zaidi ya mita 100 ambapo simu zote ziliisha ndani ya dakika 10 tu. Simu hizo zinauzwa kwa kuanzia £539 kwa zile zenye GB16, £619 kwa zile zenye GB 64 na £699 kwa simu zenye GB 128. iPhone 6 Plus zinauzwa kwa kuanzia £619 kwa ile yenye 16GB, £699 kwa yenye 64GB na £789 yenye 128GB.

Chanzo www.thechoicetz.com
- Get link
- X
- Other Apps
- Get link
- X
- Other Apps
Comments