Meneja wa Mancheste United, Louis Van Gaal, amesema sasa wameanza rasmi mbio za kurudisha heshima baada ya kuichapa QPR bao 4-0.
Katika Mchezo huo, Manchester United ilianza na wachezaji wake wapya
wanne, wakatia ilipokuwa ikicheza katika uwanja wake wa nyumbani, Di
Maria, Rojo, Blind na baadae Kuingia kwa Falcao.
Di Maria ndio alianza kuleta furaha katika uwanja huo baada ya
kufunga ka mkwaju wa faulo na kuingia moja kwa moja hadi golini, pia
alikuwa ni mtengenezaji wa bao la pili na na latatu pia.
Mabao ya QPR yalifungwa na Di Maria, Herrera, Rooney na la nne likifungwa na Mata.
Septemba 13 | |||
---|---|---|---|
FT | Arsenal | 2 - 2 | Manchester City |
FT | Chelsea | 4 - 2 | Swansea City |
FT | Crystal Palace | 0 - 0 | Burnley |
FT | Southampton | 4 - 0 | Newcastle United |
FT | Stoke City | 0 - 1 | Leicester City |
FT | Sunderland | 2 - 2 | Tottenham Hotspur |
FT | West Bromwich Albion | 0 - 2 | Everton |
FT | Liverpool | 0 - 1 | Aston Villa |
Septemba 14 | |||
FT | Manchester United | 4 - 0 | Queens Park Rangers |
Comments