Skip to main content

WATOTO 18 KATI YA 1000 WENYE CHINI YA MIAKA MITANO HUFA IRINGA



ured 095 643a9
Mwezeshaji wa Wizara ya afya na ustawi wa jamii, Jamari Soko akitoa ufafanuzi juu ya mafunzo ya ubia kati ya sekta binafsi na sekta ya umma.

IMEELEZWA kuwa watoto 18 katika kila watoto 1,000 wenye umri wa chini ya miaka mitano hufa mkoani Iringa.

Comments