ASIYEHUSIKA
NA SHOO LEO AMEPEWA UKARIBISHO RASMI Ndugu CHIDDY BENZ NDANI YA SHEREHE HII YA
KIKOSI CHA MIZINGA KUTIMIZA MIAKA KUMI NA TATU 13,WAMEALIKWA PIA WATU WA
ITIDAKI TOFAUTI ZA VYAMA NA KIMUZIKI PIA..TWENDENI TUKAMSAPOTI PINNA NA
KKS(KIKOSI CHA MIZINGA)14.26..over!!!moja ya tracks zitazo sikika tunasonga,mstari
wa mbele,maisha yangu nyimbo tosha,wabishi wa dsm,wasaliti,mashambulizi,umoja
ni nguvu,lawama,fasihi na nyingine nyingi Pia watakuwepo NASH
MC,STEREO,MANSU-LII,LUNDUNO,NIKKI MBISHI,Live With Purpose(LWP) na
wengine..usiulize wapi ni NEW MSASANI CLUB,kiingilio ni TSh5000,buku gwede buku
tano tu..KUANZIA SAA MOJA USIKU
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments