Kwa wale mlio nje ya nchi mliokuwa mkiuliza kuhusu usikivu wa Ebony Fm
Imegoma kusikika Tune In (kama mlivyosema) sasa tunasikika kwenye tovuti
yetu.
Ingia www.ebonyfm.com kisha juu kulia kuna "player" ya kusikilizia, bofya na utasikia bila shida yeyote, ina rangi nyeusi.
Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.
Human Resources Manager-Ebony FM
Comments