Skip to main content

Mwili wa Msanii Ngwair uliwasili leo










Marehemu enzi za uhai wake alitikisa anga kwa  ngoma zake kali  kama Ghetto langu, Mikasi, Sikiliza,
Demu wangu, Nipe dili, No beef na kuonekana kupewa jina jingine kama 
 mfalme ya Freestyle .

Comments