Hapa yanaonekana mambo yaliyowahi kufanyika kipindi cha nyuma kidogo . huko hali ya hewa.
Managing Director/Marketing Manager.
Francis A.Mrema
Office:
Fran`s Traders.
P.o Box 63094.
Dar Es Salaam,
TANZANIA.
Tel/Fax:+255 783 22 55 78
Kinyerezi Mwisho-Kifuru to Hali ya hewa.
Francis A.Mrema
Office:
Fran`s Traders.
P.o Box 63094.
Dar Es Salaam,
TANZANIA.
Tel/Fax:+255 783 22 55 78
Kinyerezi Mwisho-Kifuru to Hali ya hewa.
Mambo haya yalipatikana hapo hali ya hewa siku sasa , ebwana kesho Jumapili tena wadau
mnakaribishwa tena .
Baadhi ya wateja wakiwa wamefika kupata moja moto moja baridi na bele
wakiendelea kucheki mechi za Ulaya Live, pia ukwa eneo hilo licha ya
kula bata unapata kutumia huduma ya mtandao bure .
Mdau aliyetualika akiwa katika engo ya kutoa bataaaa.
Mdau huyu utukutanisha wadau wake kila hifikapo katikati ya mwezi na mwishoni wa
mwezi , wikiend ya kesho basi makamuziii yatafanyika hapa.
Ni the Blue Point Kinyerezi.
Wakwanza anayetuangalia ni mdau Managing Director Francis A.Mrema ambaye ndiye mmiliki wa hesabu hizi za kiwanja cha bata tupu na wengine wanawake waalikwa wakionekana kuwa bize na heka heka huko hali ya hewa.
Comments