Ujenzi wa Barabara ya Mbeya kuelekea Chunya , hili ni eneo Maarufu kona ya Mkoa |
Barabara ya kiwango cha Rami kutoka Mbeya kuelekea Chunya eneo la Chalangwa
Moja ya Gari likitoka Mbeya kuelekea Chunya
Ujenzi ukiendelea kwa kasi katika eneo hilo.
Mmoja wa wadau akiwa katika eneo ambalo Barabara hiyo inatengenezwa
Hili ni eneo ambalo lilikuwa ni kikwazo kikubwa kabla ya kujengwa na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wasafiri. |
Wananchi
Wilayani Chunya mkoani Mbeya waipongeza Serikali kwa kuharakisha ujenzi
wa barabara kutoka Mbeya, kuelekea Chunya ambapo barabara hiyo
inatarajiwa kuunanisha Mkoa wa Mbeya na mikoa ya jirani Singida, Dodoma
na Tabora mara baada ya kukamilika kwake.
Wakizungumza
kwa nyakati tofauti wamesema kuwa kwa sasa barabara hiyo inawapa
matumaini makubwa kutokana na kasi kubwa ya ujenzi huo unaofanywa na
Kampuni ya Kichina.
Hata
hivyo wameelezea wasiwasi wao juu ya wamiliki wa vyombo vya usafiri wa
abiria vinavyo tumika kwa sasa kukosa soko kutokana na ujenzi wa
barabara hiyo.Chanzo ni http://mbeyayetu.blogspot.com/
Comments