Skip to main content

Habari Zenu ndugu?






Zavara hapa. Nawatambulisha kazi mpya niliyofanikiwa kuipakua siku hizi za karibuni.. Hii kazi ni limbo uitwao In The Congo, limbo huh unahusisha kundi la Hip Hop tok a new York, Marekani liitwalo Rhyme Like A Girl wakimshirikisha mwanadada aitwae Nasambu msanii wa Afrosoul wa California Marekani ambaye ana asili ya kenya.  Wimbo huu ni juhudi za ushirikiano baina ya wasanii na mimi muandaji kujumuika na jamaa zetu wanaotaabika huko Kongo.  Kuna wimbo pamoja na video, pia viungo vyenye makala kadhaa zilokwisha andikwa kuhusu mradi huu.  

In The Congo video yake ilizinduliwa kwa mara ya kwanza kwenye tamasha la filamu huko Malaysia tarehe 30 ya mwezi wa tano mwaka huu.  ulifanyika uzinduzi rasmi Nairobi kenya wiki iliyopita, video hiyo imeteuliwa pia kuonyeshwa Zanzibar International film Festival, Salam Kivu tamasha la filamu huko Kongo mwezi wa saba. Husika kwenye huu mradi kwa kusaidia kusambaza huu wimbo kwenye mitandao ya jamii Face Book, Twitta na wote mnowasiliana nao, ujumbe wake ni WITO kwa jamii kulizingatia suala la Kongo na kufanya kila wawezalo kuondoa jamii ya huko kwenye MAANGAMIZI. Asanteni na karibuni

http://www.youtube.com/watch?v=TnoAv1zOQB0
soundcloud
Relevant articles on the track In the Congo.

                In The Congo - Rhyme Like A Girl Feat Nasambu



"In The Congo", is the first major musical collaborative effort of its kind to raise awareness on what some are calling the third World War.  Calling for a new wave of Green Technology and Fair Trade Electronics, this music video highlights the main cause of rape and genocide in the Eastern Congo region as a desperate scramble for the minerals that power every cell phone and laptop.  Produced and directed by Tanzanian Hip Hop guru, Zavara Mponjika, the video features US Hip Hop Ambassador Toni Blackman’s collective, Rhyme Like a Girl, alongside California based Kenyan Afro-Soul artist and founder of Activate Afrika, Nasambu. In times when the mainstream media rarely highlights issues of consequence, leaving many people in a state of ignorance, these artists have joined together across time, space, and geographical borders to express their views on this global war and human rights catastrophe that is urgently awaiting a timely response. 
--



Zavara Mponjika

Zavara is a filmmaker (Music Videos/TV Ads/Shorts) and respected Tanzanian Hip-hop pioneer (The founder of Pioneer Hip Hop crew KwanzaUnit, the group credited with shaping BongoFlava, the popular East African genre and it's founding movement Bongo Hip Hop).  Both a skilled music producer and event producer: Founder and pioneer of the WAPI monthly festival Series in Dar Es Salaam and Zanzibar. Facilitated and launched the WAPI Lagos and WAPI Kampala. he successfully produced Channel O’s Sprite Emcee Battle in Dar Es Salaam, Collaborated with the British Arts Council, UNICEF, Red Cross, Alliance Francaise, Goethe Institute and served as a consultant for Sauti za Busara, Toronto Film Festival, collaborated in Somali Sunrise Tour:  Guns Not Drums featuring K’NAAN and hip-hop artists like Shaggy, Dead Prez, and others.  He toured and shot the documentary for Diblo Dibala, legendary Congolese guitarist and founder of Soukous music. Filmed performance for Mbilia Bell in Toronto Canada, Zavara is currently working with Valerie Simpson of the legendary Ashford & Simpson and recently shot a live performance R&B superstar Freddie Jackson, videotaped and interviewed the superstar Michael Bolton's performance in New York's Sugar bar.  He is also directing, “360: The Cipher”, a documentary on Toni Blackman’s incredible work focusing on the collective energy of freestyle rap and spoken word.

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them ...

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

LEO NI BUNGE LA BAJETI

Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo. -WANANCHI WATAKA IPUNGUZE UKALI WA MAISHA MACHO na masikio ya mamilioni ya Watanzania na wadau wa nje, leo yanaelekezwa Dodoma ambako Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2011/12 itasomwa.Wananchi wengi wamekuwa na shauku ya kujua mwelekeo wa bajeti hiyo hasa katika kipindi hiki ambacho wanakabiliwa na hali ngumu ya maisha iliyotokana na kupanda kwa bei vyakula na bidhaa za mafuta. Kwa takriban wiki nzima iliyopita, baadhi ya wananchi wamekuwa wakituma ujumbe mfupi wa maandishi kwa simu katika vyombo vya habari, wakiisihi serikali kuhakikisha kuwa bajeti ya mwaka huu inawaondoa katika hali ngumu ya maisha. Bajeti hiyo itakayosomwa bungeni na Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo itatangazwa kwa wakati mmoja na bajeti za serikali za nchi zote za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), katika mtazamo wa kuimarisha mshimakano na umoja wa nchi hizo. Kwa kawaida na mazoea ya muda mrefu, baj...